
RAMANI ZANYUMBA
RAMANI YA VYUMBA 4 MASTER
TSh 100,000 kwa 1
Ramani hii inaingia katika kiwanja chenye ukubwa wa mita 40 na tatu kwa mita 27. Ramani hii ina vyumba vitatu vyote master. Chumba kimoja kina master pamoja na sehemu ya kubadilisha nguo. Lakini kuna choo cha public, kuna jiko, kuna dining. Pia kuna mikumbi miwili ya kuweza kupumzika. Vilevile ramani hii kwa upande wa nje ina chumba cha nje, ina choo cha nje pamoja na jiko la nje na mnara wa tanki. Kwa upande wa mbele ramani hii vilevile ina sehemu ya kuweza kuparking gari pamoja na bustani
✓ Stock: Inapatikana✓ Chukua dukani au chagua delivery