🚚 Tunafikisha vifaa salama hadi ulipoHuduma: +255714249514
NYUMBA MBUZINI  ZANZIBAR
NYUMBA

NYUMBA MBUZINI ZANZIBAR

TSh 28,000,000 kwa 1

🏠 SWAIF SOUQ TUNATANGAZA BOMA LINALOPATIKANA ZANZIBAR!

Kutoka barabara kuu mpaka lilipo boma ni dakika moja tu.

Boma hili lipo kwenye kiwanja chenye ukubwa wa futi 51 × 54. Lina eneo la fensi lenye nafasi ya kupaki gari, pamoja na shimo la choo ambalo tayari limeandaliwa.

Boma lina:
* Vyumba 3
* Chumba 1 Master
* Dining
* Choo cha public
* Ukumbi

💰 Bei: TZS 28,000,000
Mazungumzo yapo.

Ukitaka kuona picha za boma hili, nifuate private nikutumie picha zake. Pia video kamili ya boma hili itatoka hivi karibuni.

🚗 Kupelekwa kuliona boma ni bure, na usafiri wa kukupeleka pia ni bure kabisa.

Tufuatilie kwenye mitandao yetu ya kijamii kwa kuandika SWAIF SOUQ.

SWAIF SOUQ — Hitaji lako ndio kipaumbele chetu.

✓ Stock: Imeisha✓ Chukua dukani au chagua delivery