🚚 Tunafikisha vifaa salama hadi ulipoHuduma: +255714249514
AUTOMATICRETRACTABLE HOSE REEL
BATI

AUTOMATICRETRACTABLE HOSE REEL

TSh 0 kwa 1

Hii ni Automatic Retractable Hose Reel — kwa Kiswahili reel ya bomba la maji inayojirudisha yenyewe.
Inatumika kufunga ukutani na kuhifadhi bomba la maji. Unapohitaji, unavuta bomba nje; ukimaliza, mfumo wa ndani hulirudisha na kulizungusha ndani ya reel.
Inafaa kwa kuosha magari, kumwagilia bustani, kusafisha nyumba/duka, gereji na workshop.

✓ Stock: Imeisha✓ Chukua dukani au chagua delivery