
BATI
AIR COMPRESSOR
TSh 0 kwa 1
Hii ni Air Compressor (Compressor ya hewa)
ikiwa na tanki la kuhifadhi hewa, pressure gauge ya kuonyesha presha na pressure switch.
Kazi zake ni kujaza upepo matairi, kutumia spray gun kwa kupaka rangi, kupuliza vumbi/kusafisha, na kuendesha baadhi ya pneumatic air tools kulingana na uwezo wake.
✓ Stock: Imeisha✓ Chukua dukani au chagua delivery