🚚 Tunafikisha vifaa salama hadi ulipoHuduma: +255714249514
HEAVY ROOF TILES
BATI

HEAVY ROOF TILES

TSh 0 kwa 1

Hizi ni misumari maalum ya kufungia vigae vizito vya paa (Heavy Roof Tiles).
Kwa Kiingereza unaweza kuziita Heavy Duty Roofing Tile Nails au Roof Tile Fixing Nails. Zina mwili wenye mikwaruzo/rings inayosaidia kushika vizuri kwenye mbao na kupunguza uwezekano wa msumari kujitoa.

✓ Stock: Imeisha✓ Chukua dukani au chagua delivery