🚚 Tunafikisha vifaa salama hadi ulipoHuduma: +255714249514
WHEELBARROW
BATI

WHEELBARROW

TSh 0 kwa 1

Hii ni toroli la ujenzi (Wheelbarrow),
Lina beseni la chuma, fremu ya chuma, gurudumu moja la mbele na mikono miwili ya kusukumia. Hutumika kubeba mchanga, kokoto, saruji, mawe, udongo na vifaa vingine vya ujenzi.

✓ Stock: Imeisha✓ Chukua dukani au chagua delivery